Tanzania Yaondoa Vizuizi Kwa Wafanyabiashara Wakenya Baada Ya Mazungumzo Ya Pande Mbili
Kwa sasa Tanzania imewahakikishia maafisa wa Kenya kuwa biashara za Wakenya hazitaathiriwa na agizo hilo, na kwamba waliokuwa tayari wakifanya shughuli zao wataendelea bila usumbufu.