Mahakama Kuu yasitisha kubuniwa jopo la kutathmini deni la kitaifa la Kenya
Mahakama Kuu ya Nakuru imesitisha agizo la Rais William Ruto kubuni jopo la kutathmini deni la kitaifa kenya . Hakimu…
Mahakama Kuu ya Nakuru imesitisha agizo la Rais William Ruto kubuni jopo la kutathmini deni la kitaifa kenya . Hakimu…
Wafanyabiashara wanaitaka Serikali kupunguza kodi, kuwawekea mazingira mazuri ya biashara lakini pia kuwekwa kwa mifumo mizuri ya ukusanyaji kodi tofauti na inavyofanywa hivi sasa.
Wabunge wanapata fursa ya kupiga kura baada ya siku saba za majadiliano tangu bajeti hiyo ilipowasilishwa bungeni jijini Dodoma Juni 13 mwaka huu, ikiwa ni bajeti ya nne.
Serikali imezindua ujenzi wa majengo pacha ya ghorofa 22 kila moja jijini Nairobi, Kenya, yatakayotumika kama Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini humo na kitega uchumi kwa ajili ya kuongeza fedha za kigeni.
Kwa mwezi huu wa Juni bei ya rejareja ya mafuta ya petroli kupitia Bandari ya Dar es Salaam imeshuka kwa shilingi 53 na kufikia shilingi 3,261 kwa lita moja, ikilinganishwa na bei ya mwezi Mei iliyokuwa shilingi 3,314.
Ubalozi wa Tanzania nchini Korea Kusini umesema Tanzania haijasaini mkataba wowote na Jamhuri ya Korea unaohusu Bahari wala Madini katika ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan inayoendelea nchini humo.
Climate activists say TotalEnergies is contributing to global warming, to the destruction of biodiversity and to violations of human rights through its gas and oil activities.
Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu CAG Zanzibar imebainisha kuendelea kwa vitendo vya ufisadi katika wizara, taasisi na mashirika mbalimbali ya umma.
This debate presents a great opportunity for Kenyans to gain valuable insights, challenge assumptions, and drive positive change
The two employees, who work at the airline’s office in Kinshasa, were arrested on April 19 by a military intelligence unit, according to Kenya Airways.