Pakistan orders inquiry into killing of journalist in Kenya
Pakistan will hold a formal inquiry into the killing in Kenya of a top TV news anchor who fled the…
All the latest news and updates from Kenya
Pakistan will hold a formal inquiry into the killing in Kenya of a top TV news anchor who fled the…
The chief cabinet secretary’s post will be key in Ruto’s administration, which is facing a litany of problems ranging from how to deal with Kenya’s burgeoning debt and the worst drought in at least four decades.
Wadau wa elimu wanashinikiza mfumo wa 2:6:6:3 kuondolewe na mfumo wa 8:4:4 kurejeshwa mara moja.
Gachagua further accused Uhuru’s administration of leading intimidations against leaders who were affiliated with Kenya Kwanza. He, however, assured Kenyans that Ruto’s government will uphold the rule of law devoid of intimidation and threats.
Ubalozi wa Marekani watoa ilani ya usalama kwa raia wake nchini Kenya.
Mgombea mwenza wa Azimio la Umoja Martha Karua amemkashifu rais mteule William Ruto kwa kile ametaja kama kwenda kinyume na sheria ya Kenya katika kuvutia upande wake vyama washirika wa Azimio la Umoja.
Ukaguzi wa sajili ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) uligundua maafisa wasimamizi wa uchaguzi (returning officers) kumi na…
Meneja wa Jiji la Kisumu Abala Wanga anaelekeza kufungwa kwa baa zote, hoteli na masoko, tarehe Agosti 8, kati ya…
Ajali hiyo ilitokea Jumapili jioni wakati basi hilo lilikuwa likisafiri kutoka Meru kuelekea Mombasa.
Takriban watu milioni 18 katika Pembe ya Afrika wanakabiliwa na njaa kali huku ukame mbaya zaidi kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka 40 ukiathiri eneo hilo