Kenya
-

Kenyan MP writes demand letter to President Samia over his brief detention in Tanzania
The Embakassi East now demands a response from the Tanzania administration through President Samia Suluhu on why he was briefly detained at Julius Nyerere international Airport
-

Vijana wawili kati ya wanne waliotekwa nchini Kenya wapatikana wamekufa
Mutumwa alikuwa ametoweka mnamo Desemba 16, 2024, pamoja na Mwau na Karani Muema. Kwa zaidi ya mwezi mmoja, familia zao zilikuwa zikitafuta majibu kuhusu kutoweka kwao.
-

Uganda, Kenya, French and US embassies attacked by protesters in DR Congo
Gunshots rang out on Tuesday through parts of the besieged DR Congo city of Goma, where Congolese soldiers have clashed with militia fighters backed by Rwandan troops, while furious protesters attacked embassies in the capital…
-

Kenya yaanzisha mchakato wa kuunda tume mpya ya uchaguzi
Rais wa Kenya William Ruto ameteua jopo la watu tisa walio na jukumu la kuwasaili na kuwachuja watakaokuwa kwenye nafasi za Uenyekiti na makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC).
-

Mwaka 2024 waelezwa kuwa mwaka hatari zaidi kwa wanawake wa Kenya
Karibu wanawake 200 wa Kenya waliuawa katika visa vya ukatili wa kijinsia mwaka 2024, ikiwa ni mara mbili ya idadi ya mwaka uliopita, kulingana na taarifa kutoka kwa vikundi vinavyofuatilia hali hiyo.
-

Grace Mulei released on Sh10,000 cash bail
Grace Njoki Mulei, who captured national attention for leading a protest at Afya House, has been released on a Sh10,000 cash bail. While testifying to the media in Nairobi about her ordeal within the last…
-

Kenya’s new ICT minister warns online bullies
Kabogo has called on responsible use of social media, amid online criticisms of President William Ruto’s administration.
-

Mawaziri wapya Kenya waapishwa
Mawaziri wapya Mutahi Kagwe, Lee Kinyanjui na William Kabogo Ijumaa wameapishwa kuanza kazi, saa chache baada ya kuidhinishwa na Bunge la Kitaifa. Watatu hao wameapishwa katika hafla hiyo ilishuhudiwa na Rais William Ruto katika…
-

African Nations Championship Postponed to August
The Confederation of African Football (CAF) said there had been “good progress” on building and upgrading facilities, but that “more time was required”.








