Kenya
-

Ubalozi wa Marekani Kenya wawatahadharisha tena raia wake
Ubalozi wa Marekani watoa ilani ya usalama kwa raia wake nchini Kenya.
-

Kenya: Karua amkosoa rais mteule William Ruto
Mgombea mwenza wa Azimio la Umoja Martha Karua amemkashifu rais mteule William Ruto kwa kile ametaja kama kwenda kinyume na sheria ya Kenya katika kuvutia upande wake vyama washirika wa Azimio la Umoja.
-

Maafisa14 wa uchaguzi wasiotambulika wagunduliwa katika mfumo wa kidijitali wa uchaguzi nchini Kenya
Ukaguzi wa sajili ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) uligundua maafisa wasimamizi wa uchaguzi (returning officers) kumi na nne (14) na zaidi ya wapiga kura milioni 2 wasiotambulika. Maafisa hao walikuwa wakiendesha Mfumo…
-

Baa zote kufungwa Kisumu siku ya uchaguzi
Meneja wa Jiji la Kisumu Abala Wanga anaelekeza kufungwa kwa baa zote, hoteli na masoko, tarehe Agosti 8, kati ya saa kumi na mbili asubuhi na saa tano usiku. Maelekezo haya yataruhusu wakazi kujiandaa kwa…
-

Kenya: Watu 33 wafariki baada ya basi kutumbukia mtoni
Ajali hiyo ilitokea Jumapili jioni wakati basi hilo lilikuwa likisafiri kutoka Meru kuelekea Mombasa.
-

Mamilioni ya watu wakabiliana na njaa lakini ukame hauzingatiwi huku Kenya ikijiandaa kwa uchaguzi
Takriban watu milioni 18 katika Pembe ya Afrika wanakabiliwa na njaa kali huku ukame mbaya zaidi kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka 40 ukiathiri eneo hilo
-

Kenya: Bei ya gesi ya kupikia yashuka
Vituo vya reja reja vinaonyesha vimepunguza bei ya kujaza gesi katika mtungi wa kilo sita kwa takriban KSh100, na mtungi wa kilo 13 kwa KSh200.
-

Kenya: Outering Road kati ya barabara hatari duniani, mkutano wa UN waambiwa
Barabara ya Outering ilichangia vifo 44 kati ya 371 vilivyorekodiwa mwaka jana ikifuatwa kwa karibu na Waiyaki Way, ambayo iligharimu maisha ya watu 38, na Barabara ya Mombasa kwa vifo 29.
-

Moderna to build mRNA vaccine manufacturing facility in Kenya
“We all know the challenges that Kenya and the entire continent of Africa went through in the earlier stages of this pandemic that resulted in Africa being left behind. Not because of want but because…
-

Kenya set to host UN environment assembly as UNEP turns 50
“We need to take the state of the environment seriously and we hope that UNEA will have countries come up with policy decisions that will make us have a sustainable planet…”







