East Africa
-

Tamisemi:Watanzania zaidi ya milioni 31 wamejiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura
Akitoa taarifa hiyo mbele ya vyombo vya Habari jijini Dar es Salaam leo Oktoba 21,2024, Waziri Mchengerwa amesema kati ya Watanzania waliojiandikisha, wanaume ni milioni 15,236,772 Sawa na asilimia 48.71 huku wanawake wakiwa milioni 16,045,559…
-

LHRC yalaani tukio la kutekwa kwa Katibu Mwenezi wa BAWACHA
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania(LHRC) kimitaka vyombo vya ulinzi na usalama na mamlaka za kisheria kuhakikisha vinafuata sheria pindi vinapomkamata mtu au watu ikiwemo kuwafikisha Mahakamani ndani ya muda unaokubalika kisheria.
-

Prof Kithure Kindiki ni nani?
Msomi huyo mashuhuri katika sheria za Kimataifa na haki za binadamu, amewahi kuwa mshauri wa mashirika ya ndani na kimataifa ikiwa ni pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) na Mpango…
-

Mfahamu Rigathi Gachagua, naibu wa rais wa Kenya aliyeondolewa madarakani
Gachagua aliapishwa tarehe 13 september 2022 na kuwa naibu rais wa pili wa kenya chini ya katiba mpya ya 2010 na makamu wa rais wa 12 tangu kenya kujipatia uhuru wake.
-

The possible successors to Kenya’s ousted deputy president
President William Ruto has 14 days to nominate a new deputy after the historic impeachment of Rigathi Gachagua
-

Kenya High Court suspends process to replace deputy president
Judge Enock Chacha Mwita issued an injunction, effectively suspending the process until October 24, after Gachagua’s legal team filed a petition alleging his ouster had been unfair and rushed.
-

Kithure Kindiki: soft-spoken academic turned political heavyweight
The 52-year-old millionaire, who has served as interior minister in Ruto’s government for more than two years, was nominated to the post of deputy president on Friday following the historic impeachment of Rigathi Gachagua.
-

Kenya’s President William Ruto nominates new deputy after impeachment
Kindiki has served as interior minister in Ruto’s government for more than two years
-

UN yaitaka Tanzania kuchukua hatua za haraka kukabiliana na ukiukwaji wa haki za binadamu kabla ya uchaguzi
Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wameitaka Tanzania kuacha kuendelea na ongezeko la ukiukwaji wa haki za binadamu dhidi ya wanachama wa vyama vya upinzani, mashirika ya kiraia, waandishi wa habari, watu…








