East Africa
-

JWTZ yawaonya wanaotumia sare zao, wataka wajisalimishe.
Kaimu Mkurugenzi wa habari na uhusiano Makao Makuu ya Jeshi (JWTZ) Luteni Kanali Gaudentius Ilonda ametoa kauli hiyo Leo Jijini Dodoma mbele ya wanahabari, ambapo amesema katazo hilo la mavazi ni kwa mujibu wa kifungu…
-

Mbunge wa Ngorongoro ashangazwa Polisi kumkamata bila kibali cha Spika
Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Ole Shangai (CCM),ameshangazwa na hatua ya polisi kumkamata bila kibali cha Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, kama ambavyo taratibu za ukamatwaji zinapaswa kufanywa kwa wabunge kutokana na kinga ya bunge…
-

World’s Largest Floating Library MV Logos Hope Docks In Mombasa
MV Logos Hope which boasts 5000 different titles of books, will give thousands of Kenyans the opportunity to experience the world’s largest floating book fair from August 23 to October 3
-

Museveni akashifu tena Benki ya Dunia kwa kusitisha msaada kwa Uganda
Rais wa Uganda Yoweri Museveni kwa mara nyingine amekosoa uondoaji wa ufadhili wa Benki ya Dunia, akisema kuwa shirika hilo linajidanganya ikiwa linadhani kwamba hatua hiyo itawatia hofu Waganda. Katika taarifa iliyochapishwa kwenye akaunti yake…
-

Hakuna ubaya kufanya maandamano – Raila Odinga anasema
Odinga amesema jambo pekee ambalo si sahihi ni ukatili wa polisi
-

Kenya’s debt rises to historic high: treasury
Total public debt rose by a record 1.56 trillion shillings ($10.8 billion) in the financial year ended June 30 to 10.1 trillion shillings ($70.75 billion), breaching a debt ceiling of 10 trillion shillings,
-

Jua kwa nini Kenya inapaswa kuwa kivutio cha kila mtu barani Afrika
Balozi wa Marekani nchini Kenya Meg Whitman ameipongeza Kenya kuwa eneo bora zaidi kwa kila mtu anayesafiri barani Afrika
-

Rights groups urge Tanzania to free critics of UAE port deal
Critics of the deal say it poses a threat to Tanzanian sovereignty and security, but the government has defended the accord, arguing that it will improve efficiency, cut costs and increase revenues
-

Awanywesha sumu watoto wa mume wake kisa pesa ya mtumizi
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao amesema tukio hilo limetokea Agosti 12, 2023 saa tatu usiku katika kijiji na kata ya Itobo Wilaya ya Nzega ambapo watoto hao walikorogewa sumu na mama huyo…
-

Polisi nchini Tanzania wakabiliana na wakosoaji wa mkataba tata wa bandari huku idadi ya waliokamatwa ikiongezeka
Hadi sasa zaidi ya watu watatu wametajwa kukamatwa akiwemo Dk Willibrod Slaa, aliyewa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden na mwanansiasa maarufu nchini humo na mmoja wa wakosoaji kinara wa makubaliano ya uwekezaji wa bandari…







