East Africa
-

42nd Meeting of the Sectoral Council on Trade, Industry, Finance and Investment underway in Tanzania
The 42nd Meeting of the Sectoral Council of Ministers on Trade, Industry, Finance and Investment (SCTIFI) is currently underway at the EAC Headquarters in Arusha, Tanzania. The five-day SCTIFI meeting started with the Session of Senior…
-

Rais Samia kupokea ndege mpya ya mizigo aina ya Boeing 737-300F
Rais Samia Suluhu anatarajiwa kuipokea ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 737 – 300F itakayowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) siku ya Jumamosi Juni 3, 2023.
-

Serikali ya Zanzibar yatangaza rasmi umiliki wa Shamba la Razaba huko Bagamoyo, yatoa onyo kwa wenye kutaka kujimilikisha
Taarifa iliyotolewa na serikali ya Zanzibar, kupitia kwa msemaji wake, Charles Hilary, imeeleza kuwa shamba hilo ni mali ya serikali na haitambui mtu yoyote aliyemilikishwa; au kujimilikisha eneo hilo.
-

Viongozi wa Afrika Mashariki waongeza muda wa wanajeshi mashariki mwa Kongo.
Jumuiya ya nchi saba za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ilianza kutumwa mwezi Novemba mwaka jana ambapo wanajeshi wa Kenya waliwasili katika eneo hilo lenye hali tete, na kufuatiwa mwaka huu na vikosi vya Burundi,…
-

WHO:Watu milioni 8 hupoteza maisha kila mwaka kutokana na tumbaku
Ikiwa leo ni siku ya kupinga matumizi ya tumbaku duniani shirika la Umoja wa Mataifa la afya duniani WHO, limezitaka nchi kuacha kutoa ruzuku kwa kilimo cha tumbaku na badala yake kuunga mkono na kusaidia…
-

Ukata kusababisha WFP Tanzania kupunguza mgao wa chakula kwa wakimbizi
Zaidi ya wakimbizi 200,000 walioko nchini Tanzania wataanza kupokea nusu mgao wa chakula wanachopatiwa kutokana na ukata unaokabili shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula duniani, WFP. Asilimia 70 ya wakimbizi hao wanatoka…
-

Ahukumiwa miaka saba jela kwa kumuambukiza Ukimwi kwa makusudi mtoto wake wakufikia
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Mara imemuhukumu kwenda jela miaka saba Msirari Muhere (60) mkazi wa Wilaya ya Tarime baada ya kupatikana na hatia ya kumuambukiza ugonjwa wa Ukimwi mtoto wa miaka sita kwa makusudi.…
-

Kenya inasema tukio la uwanja wa ndege lilikuwa ni zoezi la dharura
Lengo la msingi la zoezi hilo lilikuwa kupima na kutathmini ufanisi wa taratibu za kukabiliana na dharura za uwanja wa ndege
-

Anti-LGBTQ disinformation surges online in East Africa
Homosexuality remains a taboo across much of Africa, where gay people are often forced to hide their sexual orientation out of fear for their safety
-

#UGANDA: Wanaharakati watoa wito wa kuwekewa vikwazo baada ya sheria kali dhidi ya mashoga kupitishwa
Ushoga ulihalalishwa nchini Uganda chini ya sheria za kikoloni, lakini haijawahi kuhukumiwa kwa mapenzi ya jinsia moja tangu uhuru kutoka kwa Uingereza mnamo 1962.







