East Africa
-

Mahakama yapanga kusikiliza rufaa ya Sabaya siku tano mfululizo
Rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kupinga hukumu iliyomwachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake, imepangwa kuendelea kusikilizwa kwa siku tano mfululizo kuanzia Februari 27, 2023.
-

Mkenya azuiliwa DR Congo kwa shambulio la bomu kanisani na kusababisha vifo vya watu 10
Tukio hilo la Kasindi, karibu na mpaka wa Uganda lilisababisha vifo vya watu 10 na liliacha takriban watu wengine 39 kujeruhiwa
-

Rais Museveni apiga marufuku kusafiri nje ya nchi kwa wabunge, watumishi wa umma
Rais Museveni ameweka marufuku ya kusafiri nje ya nchi kwa Wabunge na watumishi wa umma ili kuokoa pesa kwa sekta zingine zinazopewa kipaumbele
-

Ongezeko la nauli za mabasi ya mwendokasi Dar kuanza kutumika leo
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Meneja Uhusiano wa Dart, William Gatambi, viwango vya bei zilizotolewa kwa watu wazima vinaonesha kwa njia kuu kutoka Kimara kwenda kivukoni, Morocco na Gerezani ni Sh 750 na wanafunzi…
-

Lissu kukanyaga tena ardhi ya Tanzania Januari 25,2023.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu amesema anatarajia kurejea nchini Tanzania Januari 25, 2023 akitokea Ubelgiji alikorejea Novemba 10, 2020, baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu.
-

Ruto, Zelenskyy wajadili uundaji wa vitovu vya nafaka barani Afrika
Viongozi hao wawili walikubaliana kukuza kile Zelenskyy alichoita ‘Mpango wa Nafaka Kutoka Ukraine’ katika mazungumzo ya simu
-

Uganda yatangaza mwisho wa mlipuko mbaya wa Ebola
Uganda siku ya Jumatano ilitangaza kukomesha mlipuko wa virusi vya Ebola vilivyoibuka karibu miezi minne iliyopita na kuua watu 55
-

Mwanaharakati wa LGBTQ wa Kenya alikufa kwa kukosa hewa: uchunguzi wa maiti unaonyesha
Jacktone Odhiambo, ambaye aliripotiwa kuwa mpenzi wa Chiloba, ameshtakiwa kwa mauaji yake na yuko chini ya ulinzi wa polisi pamoja na washukiwa wengine wanne.
-

Rais Samia:Zama za ugomvi katika siasa ziishe twendeni na hoja za maana.
Rais Samia ameyasema hayo leo Jumatatu Januari 10, 2022 huko Unguja, visiwani Zanzibar wakati wa kilele cha matembezi ya vijana kuadhimisha miaka 59 ya mapinduzi matukufu ya Zanzibar zilizoandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM…
-

Jaji Mkuu wa Tanzania ahimiza usuluhishi katika kutatua migogoro.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma amewahimiza wananchi kutumia njia ya usuluhishi katika kutatua migogoro ya kisheria kwa lengo la kukuza uchumi endelevu badala ya kukimbilia mahakamani.







