East Africa
-

Air Tanzania plane seized in the Netherlands
Air Tanzania Company Limited plane has been seized in the Netherlands after a Swedish firm won a $165 million award against Tanzania due to revoked land title in the Bagamoyo sugar project. It is still…
-

Uganda yakamata boti 8 za wavuvi wa Kenya katika Ziwa Victoria
Maafisa wa usalama wa Uganda wamezuilia boti nane za wavuvi, ambazo wamiliki wake raia wa Kenya walituhumiwa kwa kuingia katika Ziwa Victoria
-

Kenya yaapa kukandamiza matumizi ya dawa za kusisimua misuli baada ya kukwepa marufuku ya riadha
Waziri wa Michezo wa Kenya Ababu Namwamba alishukuru Riadha ya Dunia kwa kuipa nchi hiyo nafasi ya pili na kusema kuwa serikali iko tayari kupigana “vita” dhidi ya matumizi ya dawa za kusisimua misuli
-

NACTE yafungia matokeo ya watahiniwa 540, na kufungia shule 24 kuwa vituo vya mitihani
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limezuia matokeo ya watahiniwa 540 kutoka vituo sita vya mitihani ndani ya jiji la Dar es Salaam baada ya kugundulika kufanya udanganyifu.
-

Hakimu adaiwa kujiua kwa kunywa sumu akiwa gesti
Akizungumzia tukio hilo jana Novemba 29, 2022 Kamanda wa Polisi mkoani Rukwa, Theopista Mallya amesema tukio hilo limetokea Novemba 27 mwaka huu akiwa amelala katika nyumba ya wageni.
-

Amzika mwanawe wa miezi miwili akiwa hai kisa utajiri
Mkazi wa Kijiji cha Mahaha wilayani Magu mkoani Mwanza, Zawadi Msagaja (20) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hamo kwa tuhuma za kumzika mtoto wake akiwa hai ili apate mali.
-

Museveni aahidi kusaidia ufugaji wa samaki
Rais alisema sekta ndogo ya uvuvi inachangia asilimia nne kwenye Pato la Taifa (GDP) na ni ya pili kwa mauzo ya nje ya Uganda baada ya kahawa
-

Ucheleweshaji wa tume huru wamtia wasiwasi Prof Lipumba
Chama cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania, kimemuomba Rais wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan, atimize ahadi yake ya kujenga maridhiano na kuimarisha demokrasia ya vyama vingi, kwa kuhakikisha tume huru ya uchaguzi inapatikana kabla ya…
-

Mlinzi wa kampuni ya Suma JKT adaiwa kujiua kwa kujipiga risasi
Mlinzi wa kampuni ya Suma JKT, Osea Kashiririka (21) amefariki dunia baada ya kujipiga risasi sehemu ya shingo kwa kutumia bunduki.
-

FIFA yaondoa marufuku kwa shirikisho la soka la Kenya lililokumbwa na kashfa
FIFA imeondoa marufuku kwa shirikisho la soka la Kenya, kufuatia uamuzi wa serikali kurejesha chombo hicho baada ya kulivunja kwa madai ya rushwa







