East Africa
-

UGANDA: Mafuvu ya kichwa yaibiwa kwenye makaburi ya Kibuku
Ufukuaji wa maiti ni nadra nchini Uganda na mara nyingi umekuwa ukihusishwa na shughuli za kitamaduni katika baadhi ya maeneo ya mbali nchini humo
-

Malipo ya fidia kwa waathirika wa ajali ya ndege kufanyika kwa siri
Mkurugenzi wa Shirika Precision Air, Patrick Mwanri amesema mchakato wa malipo ya fidia kwa familia zilizoathiriwa na ajali hiyo tayari umeshaanza ambapo utakuwa kati ya familia za waliothirika na shirika hilo na utakuwa wa siri…
-

EAC kuzungumzia amani ya DRC, yapanga kuzungumza na Tshisekedi
Taarifa ya EAC kwa vyombo vya habari ilieleza kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo, Dk Peter Mathuki anatarajiwa kuungana na mwezeshaji wa mchakato wa amani mashariki mwa DRC, Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta katika…
-

Auawa kwa bomu akiwa kilabuni nchini Tanzania
Kamanda wa Polisi Mkoa Kigoma, Filemon Makungu alisema kuwa aliyeuawa kwenye tukio hilo ni Amos Petro (45) na watu wengine wawili walijeruhiwa.
-

WHO:Watu milioni 24 wanaishi na kisukari Afrika na idadi kufikia milioni 55 mwaka 2045.
Takwimu zilizotolewa leo na WHO kanda ya Afrika zinaonyesha kiwango cha changamoto ya ugonjwa wa kisukari Afrika ni kikubwa ambapo watu wazima milioni 24 hivi sasa wanaishi na ugonjwa wa kisukari na idadi inatarajiwa kuongezeka…
-

Ebola inaua watu 54 ndani ya miezi miwili – WHO
Wilaya ya Mubende, iliyosajili kesi ya kwanza, imepoteza watu 29 kati ya vifo 54 vilivyosajiliwa
-

Kenyan peacekeepers arrive in DR Congo’s volatile east
Kenyan soldiers landed in Goma on Saturday as part of a regional military operation, while Congolese forces clashed with M23 rebels north of the city
-

Kenyan runner, Keneth Kiprop, banned five years for doping
Keneth Kiprop Renju, winner of the Prague half-marathon in April, received a five-year ban Friday as the latest in a long list of Kenyan athletes suspended for suspected doping. The 26-year-old has been banned for…
-

Mvua ya upepo mkali yaezua nyumba 31 na kujeruhi watoto wawili nchini Tanzania
Akitoa taarifa mbele ya kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya ya Mpanda, Afisa mtendaji wa Kata ya Itenka Yegela Samike amesema mvua hiyo ilinyesha Novemba 9, 2022 majira ya saa 12:45 jioni.
-

Rais Samia aridhia wanafunzi 28,000 kupata mikopo kwa mwaka 2022/2023
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia wanafunzi 28,000 waliokidhi vigezo vya kupata mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka 2022/2023 waende vyuoni kuendelea na usajili chini ya uratibu wa…







