East Africa
-

JWTZ yatoa tahadhari dhidi ya matapeli
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewataka wananchi kupuuza taarifa za baadhi ya watu waliowaita matapeli.
-

Watu saba wamefariki kwa kula samaki mwenye sumu
Watu 7 wamefariki dunia na wengine 24 kulazwa katika Hospitali ya Wilaya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya kula kitoweo cha samaki aina ya kasa anayedaiwa kuwa na sumu.
-

Wanaharakati wanataka tamasha la Koffi Olomide mjini Kigali Rwanda lipigwe marufuku.
Mnamo 2019, Koffi alihukumiwa kifungo cha miaka miwili jela na mahakama nchini Ufaransa baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji
-

Jaji Siyani awataka Naibu Wasajili kutimiza majukumu yao kikamilifu
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mustapher Siyani amewataka Naibu Wasajili kutimiza majukumu yao kikamilifu ili kuchochea maendeleo ya Mahakama.
-

DR Congo given green light to join EAC
The Democratic Republic of Congo has been granted the green light by the Council of Ministers to join the East African Community (EAC).
-

EAC ministers call for slashing of EALA members
Regional ministers have proposed reducing the number of East African Legislative Assembly (EALA) members elected from each partner state from nine to five,
-

Tanzania to allow students to attend school after giving birth
Government reverses controversial 2017 policy instituted by the country’s late leader, John Magufuli.
-

Rais wa zamani wa DR Congo, Joseph Kabila atuhumiwa kwa ubadhirifu wa pesa.
Joseph Kabila na familia yake wanatuhumiwa kunyakua $138 milioni za serikali.
-
Tanzania: Wanafunzi waliopata ujauzito ruksa kurudi shule
Kwa mujibu wa Waziri Ndalichako wanafunzi watakaotaka kurejea shule wataruhusiwa kufanya hivyo ndani ya miaka miwili baada ya kuwa nje ya mfumo rasmi
-

Umoja wa mataifa kuhamisha familia za wafanyakazi wake kutoka Ethiopia
Agizo hilo lilitolewa baada ya Ufaransa kuwa nchi ya hivi punde kuwashauri raia wake kuondoka Ethiopia, kufuatia ushauri sawa na wa Amerika na Uingereza







