Watu Zaidi Ya 10 Wafariki Dunia Kufuatia Kulipuka Kwa Lori La Mafuta Uganda
Video za kusikitisha zilizotumwa kwenye mtandao wa kijamii wa X zilionyesha lori hilo la mafuta likiwa limelala ubavu huku baadhi ya wakazi wakilikimbilia wakiwa wamebeba mikebe ili kuchota mafuta