Half world’s largest lakes and reservoirs drying up: study
Unlike rivers, which have tended to hog scientific attention, lakes aren’t well monitored, despite their critical importance for water security
Unlike rivers, which have tended to hog scientific attention, lakes aren’t well monitored, despite their critical importance for water security
Mafuriko bado yanaongezeka na kusababisha tishio kwa maisha zaidi
El Nino, which is a naturally occurring climate pattern typically associated with increased heat worldwide, as well as drought in some parts of the world and heavy rains elsewhere, last occurred in 2018-19
Waziri wa mambo ya nje wa Rwanda Vincent Biruta amesema kwamba nchi yake inahofu kuhusu uwezekano wauliopo wa “mauaji ya…
Mamlaka nchini Malawi zinasema idadi ya watu ambao bado hawajulikani walipo kufuatia Kimbunga Freddy imeongezeka kutoka 349 hadi 427, huku…
Wanatoroka mfululizo wa mashambulizi ya waasi wa Kiislamu wa Allied Democratic Forces (ADF) katika jimbo hilo.
Serengeti kaskazini mwa Tanzania ni nyumbani kwa simba takriban 3,000, na ni maarufu kwa watalii wa ndani na nje ya nchi
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera ametangaza siku kumi na nne za maombolezo ya kitaifa baada ya zaidi ya watu mia mbili ishirini kufariki dunia
Rais wa Kenya William Ruto alisema jana kuwa wafugaji wa kaskazini hawataruhusiwa tena kubeba silaha wakati wanachunga ng’ombe wao huku kukiwa na operesheni ya kuwapokonya silaha.
Biden alitoa wito wa kuangaziwa zaidi juu ya ukame uliovunja rekodi ambao unatishia watu milioni 22 nchini Kenya, Somalia na Ethiopia na njaa