International
-

Mgonjwa akatwa mguu usiostahili kukatwa kwenye upasuaji
Daktari wa upasuaji nchini Austria ambaye alishtakiwa kwa kukata mguu ambao haukustahili kukatwa wa mgonjwa sasa anakabiliwa na mashtaka.
-

South Africa readies hospitals as Omicron variant drives new COVID-19 wave
“South Africa now has sufficient supplies of vaccines, … vaccination is essential for our economic recovery because as more people are vaccinated more areas of economic activity will be opened up,” he said.
-

Fahamu zaidi kuhusu kirusi kipya cha UVIKO 19- Omicron
visa vya kirusi cha Omicron sasa vipo katika zaidi ya nchi 20 na katika mabara yote
-

Mji mkuu wa Israel,Tel Aviv umetajwa kuwa mji ghali zaidi kwa mtu yeyote kuishi
Kupanda kwake hadi nambari ya kwanza kunatokana na nguvu ya sarafu ya Israeli shekel dhidi ya dola
-

UN launches’bodyright’ symbol against online violence
The United Nations on Thursday launched a campaign against gender-based violence on the internet, complete with the symbol ⓑ
-

Mgonjwa akatwa mguu usiostahili kukatwa kwenye upasuaji
Daktari wa upasuaji nchini Austria ambaye alishtakiwa kwa kukata mguu ambao haukustahili kukatwa wa mgonjwa sasa anakabiliwa na mashtaka. Mapema mwaka huu, daktari alikata mguu wa kulia wa mgonjwa mzee – ingawa mguu wa kushoto…
-

UN says aid needs will surge in 2022 amid pandemic, conflict
The UN warned Thursday that the need for humanitarian aid was skyrocketing worldwide, as the pandemic continues to rage, and climate change and conflicts push more people to the brink of famine.
-

UN inakadiria kuwa mtu mmoja 1 kati ya 3 duniani kote hajawahi kutumia mtandao
Inakadiriwa kuwa 37% ya idadi ya watu wote duniani, karibu watu bilioni 2.9, hawajawahi kutumia mtandao
-

Mwanamume aliyefungwa jela kimakosa kwa miaka 42 afanyiwa mchango wa kiasi cha $1.6M kuanza maisha upya
Strickland aliwaambia polisi kuwa alikuwa nyumbani akitazama televisheni. Hakuna ushahidi wowote uliowahi kumhusisha na uhalifu huo.
-

Kirusi kipya cha UVIKO 19,Omicron kilikuwepo Ulaya hata kabla Afrika Kusini kuripoti kisa cha kwanza
Kirusi kipya Omicron kilikuwepo Ulaya kabla kisa cha kwanza kuripotiwa Afrika Kusini, data mpya imethibitisha







