Vikosi vya polisi Marekani viko katika tahadhari kabla ya uwezekano wa kukamatwa kwa Trump
Polisi katika miji mikuu ya Marekani wanajiandaa kwa ghasia zinazoweza kutokea iwapo rais wa zamani Donald Trump atakamatwa wiki hii kama sehemu ya uchunguzi wa pesa aliyotoa kama rushwa.