Miili mitatu yafukuliwa nchini Kenya huku uchunguzi wa madhehebu ukiendelea
Polisi wa Kenya walisema Ijumaa kwamba wamefukua miili mitatu, ambayo inakisiwa kuwa wafuasi wa dhehebu la kidini ambao waliaminika kujiua kwa njaa, huku wakiongeza uchunguzi