Sports
-

Rais wa Senegal amuunga mkono Gana Gueye baada ya shutuma za chuki dhidi ya wapenzi wa jinsia moja
Kiungo huyo wa kimataifa wa Senegal alikosa mchezo wa Ligue 1 dhidi ya Montpellier Jumamosi ambapo wachezaji walipaswa kuvaa jezi za upinde wa mvua kuunga mkono harakati za LGBTQ.
-

Jacobs makes 100m return in strong Nairobi lineup
Jacobs said he was motivated to come to Nairobi by a rematch with the American Kerley, fellow Italian Fillipo Tortu and the Kenyan and African 100m record holder Ferdinand Omanyala.
-

Man City suffer most painful Champions League meltdown in Madrid
For 89 minutes, the English champions showed the maturity built up over a decade of experience in the competition but in 90 seconds their best-laid plans were destroyed.
-

Jezi ya Maradona ya ‘hand of God’ aliyovaa katika Kombe la Dunia yauzwa kwa mnada kwa $9.3 milioni
Wazabuni saba walishindania vazi hilo katika mnada ulioanza Aprili 20 na kumalizika Jumatano asubuhi, Sotheby’s ilisema.
-

Ronaldo thanks Liverpool fans for show of ‘compassion’
Ronaldo missed a match to be with his family after he and partner Georgina Rodriguez announced the sad news on Monday.
-

Mwanariadha wa Bahrain mzaliwa wa Kenya apatikana kafariki nyumbani kwake
Mutua, 28, alishindania Kenya kama mwanariadha mwenye umri mdogo na kushinda medali mbili za shaba katika Michezo ya Olimpiki ya Vijana ya 2010 huko Singapore
-

Ronaldo atangaza kifo cha mwanawe wa kiume
Cristiano Ronaldo na mpenzi wake Georgina Rodriguez wametangaza Jumatatu kuwa mtoto wao mchanga amefariki dunia. Ronaldo alifichua katika chapisho la mtandao wa kijamii Oktoba mwaka jana kwamba wanandoa hao walikuwa wanatarajia mapacha. Katika chapisho lililotolewa…
-

Kombe la Dunia kufika Kenya katika ziara yake ya mataifa
Kwa mujibu wa sheria za Fifa, mbali na rais wa nchi, ni wachezaji waliokuwa sehemu ya timu iliyoshinda Kombe la Dunia pekee ndio wanaruhusa kushika kombe hilo.
-

Sekta ya michezo yatajwa kukua nchini Tanzania.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema sekta ya Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini humo imekuwa kwa kiasi kikubwa na imeanza kuleta tija kwa maisha ya Watanzania kutokana na miongozo thabiti inayotolewa na Serikali








