Search
Close this search box.
Europe

Jeshi la Ukraine lachukua makazi 30 kaskazini mashariki, Zelensky atangaza

11
Ukrainian President Volodymyr Zelensky (Photo by Genya SAVILOV / POOL / AFP)

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky siku ya Ijumaa alisema vikosi vya nchi yake vimerudisha chini ya utawala wao, makazi 30 kutoka kwa wanajeshi wa Urusi katika mkoa wa kaskazini mashariki wa Kharkiv.

“Kufikia leo, Vikosi vya Jeshi la Ukraine vimekomboa na kushika hatamu ya zaidi ya makazi 30 katika mkoa wa Kharkiv”, alisema.

Comments are closed

Related Posts