Mapinduzi ya tano kufanyika Sudan, fahamu ni yapi yanayochangia mapinduzi nchini humo.
Jenerali al- Burhan anasema mapinduzi yalibidi kufanyika kuepuka vita vya wenyewe kwa wenyewe, akisisitiza kuwa uchaguzi wa kurejesha uongozi wa kiaria utafanyika Julai 2023.