Idadi ya vifo kutokana na mapigano ya kikabila Sudan yaongezeka hadi 105
Mapigano yalizuka katika jimbo la kusini ambalo linapakana na Ethiopia na Sudan Kusini mnamo Julai 11 kati ya watu wa makabila ya Berti na Hausa.
Mapigano yalizuka katika jimbo la kusini ambalo linapakana na Ethiopia na Sudan Kusini mnamo Julai 11 kati ya watu wa makabila ya Berti na Hausa.
Sudan imekuwa ikikabiliwa na machafuko yanayozidi kuongezeka tangu Burhan aongoze mapinduzi mnamo Oktoba 25
Sudan imeachilia huru kundi jingine la wanaharakati, wanasiasa na viongozi wa mashirika ya kiraia, walioshikiliwa baada ya mapinduzi ya Oktoba 25
Baada ya wiki kadhaa za kifungo cha nyumbani, ambapo Sudan ilitikiswa na maandamano makubwa, alirejea rasmi serikalini chini ya makubaliano na Jenerali Abdel Fattah al-Burhan