DR Congo: Mashambulizi yanayoshukiwa kuwa ya waasi yasababisha vifo vya raia 12
Watu wanaoshukiwa kuwa waasi wamewaua raia kumi na wawili katika mashambulizi ya hivi majuzi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,
Watu wanaoshukiwa kuwa waasi wamewaua raia kumi na wawili katika mashambulizi ya hivi majuzi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,
Kundi la ADF ni miongoni mwa wanamgambo wenye ghasia zaidi kati ya zaidi ya wanamgambo 120 ambao hupatikana mashariki mwa DRC.
Wiki kadhaa za ghasia zimezua mzozo wa kidiplomasia kati ya DRC na jirani yake Rwanda, ambayo inalaumu kwa kuibuka upya kwa wanamgambo wa waasi wa M23.
Uganda ilijiunga na vikosi vya Congo mnamo Novemba 30 katika vita dhidi ya Allied Democratic Forces (ADF), inayotuhumiwa kwa mauaji mashariki mwa DR Congo na milipuko ya mabomu nchini Uganda.
Waasi wa ADF, ambao wanafungamana na kundi la Islamic State kama mshirika wake wa Afrika ya kati, wamehusika na ghasia kali dhidi ya raia — mara nyingi kwa mapanga na silaha nyinginezo.
Licha ya kukabiliwa na jeshi la nchi hiyo — na usaidizi kutoka kwa vikosi vya Uganda, vilivyoanza kukabiliana na waasi mwishoni mwa Novemba – mashambulizi ya ADF yameendelea.
Walienda huko kwa dhamira kutoka kwa Rais Felix Tshisekedi ili kujadili masharti ya kusitisha mapigano na kuwakomesha uharifu katika eneo hilo.
mashambulizi ya CODECO yamesababisha mamia ya vifo na kusababisha zaidi ya watu milioni 1.5 kukimbia makazi yao
Mnamo tarehe 30 Novemba, wanajeshi wa Uganda walijiunga na wanajeshi wa Congo katika msako mkali dhidi ya ADF katika eneo la Beni.
Rais wa Congo Felix Tshisekedi ameidhinisha wanajeshi wa Uganda kuingia DR Congo kusaidia kupambana na kundi la waasi la ADF