Kenya: Vyama vya kisiasa na miungano ya kisiasa
Makubaliano ya kisiasa yamekuwa ya kawaida miongoni mwa wanasiasa katika kipindi chote cha baada ya ukoloni.
Makubaliano ya kisiasa yamekuwa ya kawaida miongoni mwa wanasiasa katika kipindi chote cha baada ya ukoloni.
Mpango huo wa BBI au Building Bridges Initiative (BBI) unalenga kubadili mfumo wa uchaguzi ambao umelaumiwa kwa ghasia za mara kwa mara