Mfalme wa Ubelgiji awasili DR Congo kwa ziara
Mfalme huyo atafanya ziara ya siku sita inadaiwa kuwa nafasi ya maridhiano baada ya ukatili uliofanywa chini ya utawala wa kikoloni wa Ubelgiji.