Kenya yawaachilia waendesha bodaboda 16 waliokuwa wameshikiliwa kwa kumnyanyasa kijinsia dereva mwanamke
Mahakama ya Nairobi iliamuru waachiliwe huru baada ya upande wa mashtaka kusema hawakuwa na ushahidi wa kutosha kuwahusisha waendeshaji bodaboda hao na uhalifu.