Kesi ya mauaji ya Thomas Sankara yaanza miaka 34 baada ya kifo chake
Mahakama ya kijeshi Ouagadougou imeanza kusikiliza kesi inayowakabili watu 14 wanaotuhumiwa kwa mauaji ya Thomas Sankara miaka 34 iliyopita.
Mahakama ya kijeshi Ouagadougou imeanza kusikiliza kesi inayowakabili watu 14 wanaotuhumiwa kwa mauaji ya Thomas Sankara miaka 34 iliyopita.
Mtu mwenye nguvu zaidi duniani, Iron Biby, kutoka Burkina Faso avunja rekodi ya kuinua chuma chenye uzito wa 229 kg
Kutoka Afrika magharibi, Burkina Faso imekuwa na mapinduzi mengi yaliyofaulu. Serikali za Burkina Faso zimepinduliwa mara saba na jaribio moja ambalo halikufaulu.