Je, nani ataibuka mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or 2021?
Nyota wa kandanda Lionel Messi, Jorginho na N’Golo Kante wametajwa katika orodha ya wachezaji wengine 30 watakaowania tuzo ya Ballon d’Or 2021.