Serikali ya Kenya yaanzisha msako dhidi ya raia wa kigeni nchini.
Kulingana na taarifa iliyotolewa na wizara ya Mambo ya Ndani, raia wa kigeni 20,000 wameinga nchini tangu mwezi Juni.
Kulingana na taarifa iliyotolewa na wizara ya Mambo ya Ndani, raia wa kigeni 20,000 wameinga nchini tangu mwezi Juni.
WAKENYA TUMEKUWA WAKARIMU SANA KUWAPA HIFADHI WAKIMBIZI KUTOKA MATAIFA JIRANI AFRIKA, MATAIFA MENGINE YATUSAIDIE SASA” MSEMAJI WA SERIKALI COL.CYRUS OGUNA