Utawala wa Mali unasema ulifaulu kuzuia jaribio la mapinduzi
Kikosi cha kijeshi cha Mali kilisema kilizuia jaribio la mapinduzi wiki iliyopita lililoongozwa na maafisa wa jeshi na kuungwa mkono na nchi ya Magharibi

Africa has experienced more coups than any other continent.