Mazungumzo ya COP15 yakukabiliana na kuenea kwa jangwa yafanyika Abidjan
Miongo kadhaa ya kilimo kisicho endelevu kimedhoofisha udongo duniani kote na kuharakisha ongezeko la joto duniani na upotevu wa viumbe, UNCCD inasema, huku takriban asilimia 40 ya ardhi ikiharibika kote duniani.