Kenya yaondoa masharti ya kukabilina na UVIKO 19, ikiwemo kuvaa barakoa
Tangazo hilo linakuja wakati viwango vya maambukizi ya UVIKO-19 vikiwa vimepungua hadi asilimia moja au chini zaidi katika mwezi mmoja uliopita, Waziri wa Afya Mutahi Kagwe alisema.