Mwanariadha wa Bahrain mzaliwa wa Kenya apatikana kafariki nyumbani kwake
Mutua, 28, alishindania Kenya kama mwanariadha mwenye umri mdogo na kushinda medali mbili za shaba katika Michezo ya Olimpiki ya Vijana ya 2010 huko Singapore