Rais wa Equatorial Guinea kuwania muhula wa sita
Rais Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, ambaye ameiongoza Equatorial Guinea kwa zaidi ya miaka 43, atawania muhula mpya katika uchaguzi wa urais

Mnamo Julai 2003, redio inayoendeshwa na serikali ilimtangaza Obiang “mungu wa nchi” mwenye “nguvu zote juu ya wanadamu na vitu.”