Desmond Tutu, Prince Philip na DMX kati ya watu mashuhuri walioaga dunia mwaka wa 2021
Kuanzia kwa Mwanamfalme Philip wa Uingereza hadi mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel Desmond Tutu, hawa ni baadhi ya watu mashuhuri walioaga dunia mwaka wa 2021.
Kuanzia kwa Mwanamfalme Philip wa Uingereza hadi mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel Desmond Tutu, hawa ni baadhi ya watu mashuhuri walioaga dunia mwaka wa 2021.
Tutu alistaafu mwaka wa 1996 na kuongoza safari ya kupata ukweli kama mkuu wa Tume ya Ukweli na Maridhiano, ambayo iliweka wazi maovu ya utawala wa kibaguzi.