Kizza Besigye: Uongozi sharti urejeshwe kwa wananchi wa Uganda
Besigye anasisitiza kwamba uongozi Uganda unatekelezwa kupitia jeshi ambalo alibaini kuwa linawafahamisha raia kuhusu mfalme wa kifalme anayekuja.
Besigye anasisitiza kwamba uongozi Uganda unatekelezwa kupitia jeshi ambalo alibaini kuwa linawafahamisha raia kuhusu mfalme wa kifalme anayekuja.
Viongozi wa mataifa saba yanayojumuisha muungano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki watakutana Jumatatu kujadili hali ya usalama katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Ofisi ya rais wa Kenya ilisema Alhamisi kwamba viongozi hao walikuwa wakitafuta kuanzisha kikosi cha kikanda ili kukomesha makundi ya waasi wanaoendesha shughuli zao katika eneo hilo.