Utawala wa Mali waitisha maandamano dhidi ya vikwazo vilivyowekewa nchi hiyo
Maandamano yakupinga vikwazo vikali vya kikanda yalitarajiwa kuanza Ijumaa huku shinikizo la kimataifa likiongezeka kuhusu kucheleweshwa kwa uchaguzi.