Wakazi wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakataa wazo la jeshi la kikanda
Kwa wengi katika kanda hiyo, haikuwa wazi jinsi jeshi lolote jipya la kikanda lingeweza kufanikiwa pale ambapo MONUSCO ilishindwa.
Kwa wengi katika kanda hiyo, haikuwa wazi jinsi jeshi lolote jipya la kikanda lingeweza kufanikiwa pale ambapo MONUSCO ilishindwa.
Katika shambulio la hivi punde la waasi, watu 16 waliuawa 7 kujeruhiwa na magari yalichomwa wakati wa uvamizi wa usiku katika eneo lenye hali tete la mashariki, Shirika la Msalaba Mwekundu lilisema
Wanamgambo wa M23 waliibuka kutoka kwa uasi wa Watutsi wa Congo mwaka wa 2013 ambao uliungwa mkono na nchi jirani za Rwanda na Uganda wakati huo.
Waasi wa ADF, ambao wanafungamana na kundi la Islamic State kama mshirika wake wa Afrika ya kati, wamehusika na ghasia kali dhidi ya raia — mara nyingi kwa mapanga na silaha nyinginezo.