Kando na Masten Wanjala fahamu wauaji wengine waliouwa zaidi ya watu 100
Kulingana na wanasaikolojia, serial killer ni mtu anayewaua watu watatu na zaidi, wengi wa wauaji hao wakijihusisha na vitendo vya ngono na waathiriwa wao.