Kikundi cha densi cha Uganda, Ghetto Kids kimeshindwa kufika fainali ya Britain’s Got Talent
Kundi hilo la watoto sita wana umri wa kati ya miaka sita na 13, na walitoka katika jamii maskini katika mji mkuu wa Kampala