Kenya: Mwanafunzi acharazwa viboko kwa kula chapati nyingi
Madaktari katika hospitali ya Coast General wanasema mvulana huyo ana jeraha kubwa kwenye figo na majeraha mengine katika sehemu zake za siri.