ECOWAS yasema Guinea imekubali kipindi cha mpito cha miaka miwili
Mwenyekiti wa jumuiya ya kanda ya Afrika Magharibi alisema kwamba Guinea itapunguza kipindi cha mpito cha utawala wa kiraia kutoka miaka mitatu hadi miwili.

Mali ilifanya mapinduzi Agosti 2020 na Mei 2021, ikifuatiwa na Guinea Septemba 2021 na Burkina Faso mwezi Januari