ECOWAS imposes sanctions on Guinea’s military government over coup
ECOWAS imposes sanctions on Guinea’s military government over coup
ECOWAS imposes sanctions on Guinea’s military government over coup
Rais wa ECOWAS Jean-Claude Kassi Brou amesema bila shaka kuwa ECOWAS imeiwekea Guinea vikwazo.
Kutoka Afrika magharibi, Burkina Faso imekuwa na mapinduzi mengi yaliyofaulu. Serikali za Burkina Faso zimepinduliwa mara saba na jaribio moja ambalo halikufaulu.
ECOWAS suspends Guinea from the bloc after military coup
Alumini imepanda baada ya mapinduzi hayo, ikizingatiwa kuwa Guinea ni taifa nambari mbili duniani katika uzalishaji wa madini ya Bauxite yanayotumiwa kutengeneza Aluminium.
“Tumechukua uongozi wa nchi kukomesha ufisadi na umaskini “ Kanali Mamady Doumbouya
Special forces soldiers apparently ousted Guinea’s long-serving President Alpha Conde on Sunday, telling the West African nation they had dissolved its government and constitution and closed its land and air borders.
Ugonjwa wa Marburg ulizuka mara ya kwanza nchi Ujerumani katika miji ya Marburg na Frankfurt.