Wazee na mwendesha mashtaka wa Libya wapinga nia ya mwanawe Gaddafi kugombea urais
Baraza la wazee wenye ushawishi mkubwa kutoka Misrata limetoa wito wa kususia uchaguzi.