Africa People Politics Rais wa zamani wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita aaga dunia Maureen MedzaJanuary 17, 2022January 17, 2022 Bw. Keita, maarufu kama IBK, alikuwa rais wa Mali kutoka 2013 hadi 2020.