Kenya: Maswali yaibuka kuhusu jina la raia wa kigeni kwenye fomu 34A
Maswali yaibuka kuhusu jinsi jina la raia wa Venezuela ilivyopatikana katika fomu 34A.
Maswali yaibuka kuhusu jinsi jina la raia wa Venezuela ilivyopatikana katika fomu 34A.
Tume ya IEBC imefungua sava na kupisha zoezi la uhakiki kuanza
Maafisa wanne wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya (IEBC) wamekamatwa baada ya kupatikana wakifanya mkutano nyumbani kwa muwaniaji wa ubunge
Tume Huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) imelaani kukamatwa kwa maafisa watatu kutoka kwa kampuni inayosambaza mifumo ya kielektroniki ya kupigia kura kwa uchaguzi wa mwezi ujao.