Seneta wa Nigeria kukabiliwa na kesi ya uvunaji wa viungo Uingereza
Ike Ekweremadu, 60, anatuhumiwa na mkewe, Beatrice, 56, binti yao, Sonia, 25, na daktari kwa kumleta mwanamume ,21, kutoka Nigeria ili figo yake iondolewe