42 wafariki kwa kunywa pombe yenye sumu nchini India
Mamia ya watu hufa kila mwaka nchini India kutokana na pombe ya bei nafuu inayotengenezwa kwenye viwanda vya kutengeneza pombe.
Mamia ya watu hufa kila mwaka nchini India kutokana na pombe ya bei nafuu inayotengenezwa kwenye viwanda vya kutengeneza pombe.
Rameshbabu Praggnanandhaa, 16, in 2016 became the youngest international master in history at age 10.
Mwaka wa 2020, India ilirekodi visa 28,046 vya ubakaji ikiwa ni takriban visa 77 vya ubakaji kila siku.