Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Twitter Jack Dorsey azuru Kenya, angoza uwekezaji wa milioni Ksh 245
Ziara ya Dorsey Nairobi inafuatia kuonekana huko Accra, Ghana, ambako alihudhuria Mkutano wa 2022 wa Bitcoin ambao ulifanyika kuanzia Desemba 5 – Desemba 7