Mwandishi wa riwaya wa Uganda na mkosoaji wa serikali akamatwa
Rukirabashaija ni mkosoaji mkubwa wa serikali ya Rais Yoweri Museveni,Rukirabashaija ni mkosoaji mkubwa wa serikali ya Rais Yoweri Museveni, alipata sifa kwa riwaya yake ya kejeli ya mwaka 2020, “The Greedy Barbarian” ambayo inaelezea ufisadi wa hali ya juu katika nchi ya kubuni.