Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris kuzuru Afrika baadaye mwezi huu
Anapanga kuwa Ghana kuanzia Machi 26 hadi 29, kisha Tanzania kuanzia Machi 29 hadi 31. Kituo chake cha mwisho ni Zambia, Machi 31 na Aprili 1.
Anapanga kuwa Ghana kuanzia Machi 26 hadi 29, kisha Tanzania kuanzia Machi 29 hadi 31. Kituo chake cha mwisho ni Zambia, Machi 31 na Aprili 1.
Rais Joe Biden ameadhimisha kumbukumbu ya mwaka wa pili wa mauaji ya George Floyd kwa kutia saini agizo kuu la kutunga mageuzi katika idara ya polisi
Urusi ilipiga marufuku ya kusafiri kwa Makamu wa Rais wa Amerika Kamala Harris, mkuu wa Facebook Mark Zuckerberg na makumi ya Wamarekani mashuhuri na Wacanada kulipiza kisasi kwa vikwazo vilivyowekwa juu ya uvamazi wao nchini Ukraine.
Rais Uhuru Kenyatta alitumia katiba kumteua Naibu Rais William Ruto kaimu rais kwa muda wa siku tatu alipokuwa The Hague Uholanzi.